Indigo

Loading Inventory...
Biashara ya Nguo za Mitumba: Ujasiriamali

Current price: $2.99
Visit retailer's website

Size: Kobo eBook

Visit retailer's website
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Indigo
Kitabu hiki kimetayarishwa kutokana na mwitikio mkubwa niliopata, kutoka kwa wadau, walio ona video yangu inayoitwa 'Jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo za mitumba' ambayo inapatikana kwenye You Tube Channel ya Ali Mwambola Nimekuwa nikipata simu pamoja na SMS messages nyingi kutoka kwa wadau ambao wamekumbana na chanagamoto mbali mbali, wakati wakiwa katika mipango ya kuanzisha biashara ya nguo za mitumba Kuna baadhi ya wajasiriamali wanadhani kuwa, unapokuwa unao mtaji wa kutosha, basi unaweza kuanzisha biashara ya nguo za mitumba na kupata mafanikio. Hayo ni mawazo yanayo potosha, kwa kuwa kuna taratibu ambazo zinatakiwa utekeleze ili mafanikio yapatikane Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kutekeleza, ili ufanikiwe kuanzisha biashara ya nguo za mitumba yenye mafanikio.

More About Indigo at Erin Mills Town Centre

The largest book retailer in Canada also offers toys, music, home décor, gifts and lifestyle products. What's Inside...Books, Magazines, CD’s and DVD’s, Toys and Gifts, Home Accents, Electronics, Baby’s and Children’s Section, Bath and Body, Kitchen and Bedroom, Stationary Located outside in the exterior plaza.

5015 Glen Erin Dr, Mississauga, ON L5M 0R7, Canada

Find Indigo at Erin Mills Town Centre in Mississauga ON

Visit Indigo at Erin Mills Town Centre in Mississauga ON
Powered by Adeptmind