Indigo

Loading Inventory...
Ua Ama UfeUa Ama Ufe

Ua Ama Ufe

By None

Current price: $5.99
Visit retailer's website
Ua Ama Ufe

By None

Ua Ama Ufe

Current price: $5.99
Loading Inventory...

Size: Kobo eBook

Visit retailer's website
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Indigo
Baada ya kufanya kazi za upelelezi wa muda mrefu, akihusika na mambo yanayohusiana ndani ya nchi ya Tanzania. Tatizo kubwa lilitokea, ni baada ya kufika taarifa ya usaliti wa jasusi mmoja wa EASA aliyetorokea jimbo la Juba kusini mwa Somalia. Taarifa inasemekana alimjeruhi mwenzake vibaya, ambaye alitibiwa na kupona na alibaki nchini Kenya akiendelea na kazi zingine. Wakati huyo msaliti akiendelea kujichimbia nchini Somalia. Inaandaliwa operesheni, aliyotakiwa mpelelezi mmojawapo atumwe kwenda huko. Huyo aihitajika kufika mjini Lamu aonane na jasusi aliyejeruhiwa, ambaye angekuja kumsafirisha kwa kutumia watu wake kwenda Juba. Huko wangekuja wapelelezi wengine ambao wangeigiza kama wanamgambo, hao wangemteka na kumfikisha kwenye kundi mojawapo la wanamgambo huko ndiyo angefanya kazi yake. Shirika lilimteua Norbert Kaila kushikilia jukumu hilo, ambaye aliondoka nchini Tanzania kwa mujibu wa itifaki ilivyo. Ila mambo yanakuja kugeuka baada ya kufika nchini Somalia. Huko anatekwa kibaya zaidi wanaofanya kazi hiyo ni majambazi kamili wa kundi mojawapo, na si wale wenzake ambao walipangwa kufika huko. Watekaji waliwahi mapema kabla ya majasusi wengine, walitimiza jukumu hilo, mwisho wake ikaja kuwa tatizo kubwa kwa EASA. Norbert Kaila aliwekwa nguvuni, inampasa kujiokoa na kuendelea na misheni yake.

More About Indigo at Erin Mills Town Centre

The largest book retailer in Canada also offers toys, music, home décor, gifts and lifestyle products. What's Inside...Books, Magazines, CD’s and DVD’s, Toys and Gifts, Home Accents, Electronics, Baby’s and Children’s Section, Bath and Body, Kitchen and Bedroom, Stationary Located outside in the exterior plaza.

5015 Glen Erin Dr, Mississauga, ON L5M 0R7, Canada

Find Indigo at Erin Mills Town Centre in Mississauga ON

Visit Indigo at Erin Mills Town Centre in Mississauga ON
Powered by Adeptmind